MrSilver Logo
MrSilver Systems Logo

We Simplify for You!

MrSilver Systems inakuletea mifumo madhubuti ya kusimamia mtandao wako wa Wi-Fi, vocha za MikroTik, pamoja na mfumo wa malipo ya kiotomatiki kwa urahisi zaidi.

SilverController

Mfumo maalum wa kuuza vocha, kusimamia routers za MikroTik, na ufuatiliaji wa mawakala (Agents).

Ingia kwenye SilverController

SilverPay

Lango salama la malipo ya kidijitali (Payment Gateway) kwa ajili ya biashara yako na miamala ya kiotomatiki.

Fungua SilverPay

YouTube Tutorials

Video za mwongozo wa kutumia mifumo yetu zitapatikana hapa hivi karibuni.